Huduma na miradi yetu

HAIPPA PLC ni Akademi No.1 Tanzania inayowajenga Wawekezaji Wapya, Wabunifu, Wajasiriamali na Wahitimu kutoka mashuleni na Vyuoni Wanaojiunga kwa mara ya Kwanza kwenye Soko la Kazi, Uzalishaji na Biashara ili Kuanza Kujenga Uchumi wao. Tunazalisha masuluhisho ya Kibiashara kwenye Nyanja za Urasimishaji, Ujenzi wa Makampuni, Uwekezaji, Masoko, Mitaji, Malezi ya Wabunifu na Usimamizi wa Biashara.