ABOUT HAIPPA

Logo

MAONO

MAONO ya HAIPPA PLC ni kuwa Shule kubwa zaidi ya uwekezaji barani Afrika inayowezesha Wananchi wengi Kumiliki Fursa endelevu za Kiuchumi.

Logo

DHAMIRA

DHAMIRA ya HAIPPA PLC ni Kuelimisha na kuwezesha Wananchi wengi Katika nchi za Afrika kuwa na Uchumi imara Kupitia Fursa za Uwekezaji na umiliki wa Hisa za Makampuni.