Huduma Zetu

Akademi ya Uwekezaji HAIPPA

Jiunge na Klabu ya Uwekezaji ya HAIPPA kujifunza Uwekezaji na Kuanza Kuwekeza kupitia Fursa za HAIPPA.
Bofya kujiunga »»

Akademi ya Biashara na Ubunifu

Jiunge na Klabu ya HAIPPA Entrepreneurs kunufaika na Fursa za HAIPPA za Mitaji, Masoko, Urasimishaji na Ujenzi wa Makampuni ili kukuza Biashara yako.
Bofya kujiunga »»

Klabu ya Vijana Wabunifu HAIPPA

Jiunge na Klabu ya Wanafunzi na Vijana Wabunifu Kuanza Kujenga Ndoto yako kupitia Fursa za HAIPPA
Bofya kujiunga »»

Klabu ya HAIPPA Managers

Jiunge na Klabu ya HAIPPA Managers Kuajirika na kujenga Career yako na Ujuzi wako Kitaaluma kupitia Fursa za HAIPPA.
Bofya kujiunga »»

SOKO LA HAIPPA

Sajili na Tangaza Biashara yako, Bidhaa, Huduma, Ubunifu, Teknolojia, Taaluma, Kipaji, Fursa au Utafiti kupitia Soko la HAIPPA linaloendeshwa Kwa njia ya mtandao ili kuwafikia Wateja wengi zaidi ndani na nje ya nchi.
Bofya kujiunga »» Tembelea soko letu »»

KLINIKI ZA HAIPPA

Anzisha KLINIKI ya HAIPPA kwenye Eneo lako Kusaidia Kusambaza Elimu ya Uwekezaji na Fursa za HAIPPA. Bofya kujiunga »»

Makampuni ya HAIPPA

Ukiwekeza na HAIPPA unakuwa umechagua kuwekeza kwenye mseto wa Makampuni ya HAIPPA yaliyokwisha anzishwa na yanayoendelea Kuanzishwa kwenye Sekta mbalimbali. Makampuni Tanzu ya HAIPPA PLC mpaka sasa ni pamoja na: HAIPPA Microfinance Limited, HAIPPA Insurance Agency, BIG4 Engineering and Technology Co. Limited.
Bofya kujiunga »»